Pages

Wednesday, December 22, 2010

ASIA IDAROUS FASHION SHOW IN HOUSTON ON THIS X-MAS DAY

  FOR THE FIRST TIME IN H-TOWN, Mama wa mitindo maarufu kutoka Tanzania bibie Asia Idarous-Khamsin , atawasha moto mjini Houston pamoja na vitongoji vyake katika fashion show ya mavazi yake ya kukata na shoka siku ya December 25,2010 katika Ukumbi wa Safari ya zamani. Fashion show hiyo kabambe itaambatana na muziki mzito utakaoporomoshwa na Dj Luke kutoka DC & Dj Rex Houston.

Kiingilio kimoja tu $10.00

Njoo ujionee vipaji na usanii katika fani ya mavazi pamoja na burudani ya muziki wa aina zote
old schoo,Hip hop,Reggae,Bolingo,Kwaito,Chalanga,Soca Rhumba and Zouk. 

Free Drink with Prepaid Ticket.
Call - 713-504-4278
832-541-9121
832-528-7500
Karibu upate ile kitu Roho inapenda

No comments:

Post a Comment