Pages

Friday, December 17, 2010

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA BANK YA MAENDELEO YA CHINA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu,Peniel Lymo (aliyekaa wapili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wizara na sekta Binafsi katika kikao na Ujumbe wa Benki ya Maendeleo ua China (china Development Bank)kilichofanyika kwenye ukumbiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Mjini Dar es salaam Desemba 17, 2010. Wapili Kulia (aliyekaa) ni kiongozi wa ujumbe huo, Bw. HZhenhua. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment