Pages

Tuesday, December 28, 2010

RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA

Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na utawala Bora,Ikulu Mini Zanzibar,akiwa katika utaratibu wake wa kuzungumza na kila wizara.Picha na mdau Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar

No comments:

Post a Comment