Katibu Mkuu wa CCM Dr. Mukama akimkaribisha Balozi wa Zambia nchini Tanzania bi. Judith Kangoma Kapijimpanga kwa ajiri ya mazungumzo baina yao leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Dr. Mukama akiongoza Kikao baina ya viongozi wa CCM na wajumbe wa chama cha FRELIMO waliomtembelea leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Mh. Mkama akiagana na wajumbe wa FRELIMO baada ya kumakiza mazungumzo yao leo, kulia ni katibu mwenezi wa CCM bw. Nape.
No comments:
Post a Comment