Thursday, May 3, 2012
KOZI ZA KISWAHILI KUFUNDISHWA MINNEAPOLIS INDIANA
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Sinare Maajar amezindua mradi maarum wa kozi za kiswahili zitakazofundishwa katika Chuo kikuu cha Indiana hapa Marekani.
Aidha wanafunzi watakaosoma kozi hizo watapata fursa ya kwenda kusoma chuo kikuu za Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kozi hiyo ya Kiswahili.
Balozi Bi. Maajar akiwa na baadhi ya wakufunzi katika chuo kikuu cha Indiana wakati wa uzinduzi wa mradi huo.
Mh. Balozi Sinare Maajar akiwa na baadhi ya wakufunzi na wanafunzi katika chuo kikuu hicho.
Balozi Maajari akiwa na watanzania washiio Minneapolis Indiana.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Sinare Maajar akiwa na wenyeji wake na baadhi ya watanzania waliohudhuria sherehe hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment