Tuesday, May 1, 2012
SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIVYOFANA MJINI TANGA LEO
Mh. JK akishiriki katika kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa ameshikana mikono na rais wa jumuiya ya vyama vya wafanyakazi TUKTA. kushoto kwa Mh. rais ni waziri wa kazi na ajira Mh. Gaudencia Kabaka.
Dk. JK akihutubia mkutano huo uliokuwa ukifanyika mjini tanga leo Mei 1 2012 kwenye uwanja wa Mkwakwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. JK akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi za kitanzania milion tatu kwa bi.Anetha Chengula ambae alikuwa mfanyakazi bora toka Tanesco.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment