Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. JK akiwasili uwanjani rasmi kwa maadhimisho ya sherehe za muungano
Mh. Kikwete ambaye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Tanzania akikagua gwaride rasmi wakati wa maadhimisho ya muungano leo jijini Dar es salaam.
Dk Kikwete akisalimia na mama Maria Nyerere ambae alikuwa mmoja wa waliohudhulia kwenye sherehe hizo.
No comments:
Post a Comment