Pages

Wednesday, May 2, 2012

AFRIKA INAVYOKUWA KWA KASI


                        Hivi ndivyo jiji la Nairobi linavyoonekana majira ya usiku.
Inadaiwa kuwa asilimia 71 ya Watanzania na aslimia 61 ya watu barani Afrika wanamiliki mawasiliano ya mkononi.

                                                     Dar es salaam, Tanzania.

                      Hivyo ndivyo jengo la Mlimani city Mall inavyoonekana kwa ndani

          Moja ya makanisa ya kihistoria la Mtakatifu Joseph lililoko jijini Dar es salaam.

            Hii ndio dar es salaam moja ya miji inayokuwa kwa kasi kabisa barani afrika

No comments:

Post a Comment