Rais wa Jamhuri ya Kodemokrasi ya Kongo bwana Joseph Kabila.
Mapigano yangali yanaendelea mkoani Kivu ya kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
Mapigano mashariki mwa Kongo
Mapigano yakiwa yanaendelea katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Masisi mkoani Kivu ya kaskazini mashariki mwa DRC, waasi wa zamani wa CNDP wakiwa ndio wanaipigana na serikali ya DRC, generali Bosco Taganda anayesakwa na mahakama ya ICC na anayetajwa kuwa ndiye anaongoza vita hivyo, amekanusha kuhusika katika vita.
No comments:
Post a Comment