Pages

Tuesday, May 1, 2012

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA NCHINI MOROCCO


Wajumbe wa kamati ya bunge ya mambo ya nje ulinzi na usalama katika picha ya pamoja na Spika wa bunge la seneti nchini Morocco Mh. Mohamed Yatin


Mwanyekiti wa kamati ya bunge mambo ya nje na usalama Mh Edward Lowasa akipata maelezo toka kwa mwenyeji wao bwana M. Yatin ambae ni spika wa bunge nchini huo.
Wajumbe wa kamati ya bunge ya usalama na mambo ya nje chini ya mwenyekiti wake Mh. Edward Lowasa wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wenyeviti wa kamati mbalimbali za bunge nchini humo.
                                         Kamati zikiendelea na kikao hicho muhimu

Wajumbe wa kamati ya bunge la Tanzania ya mambo ya nje na usalama wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo Mh. Edward Lowasa wakikaribishwa kwenye kikao na spika wa bunge la Morocco Mh. Mohamed Yatin.

No comments:

Post a Comment